DIAMOND KALA KARANGA
Msanii wa bongo kutoka Tanzania hamefanya kile kinachohonekana kama kuku kula karanga hii ni bahada ya kukiri wanzi yakwamba yukona mpezi mwingine .Diamond na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Zari wamekuwa wakirushiana maneno kwa mitandao ya kijamii huku zari hakimlahumu Diamond kwa kumsaliti na kuwa na mapenzi inje ya ndoa yao.vile vile Diamond pia yuko mbioni kuwafurahisha mashabiki wake na kujifanya hakuna kitu kilitokea huku kwa mara moja hakiweka picha ya mpenzi wake mpya.

Comments
Post a Comment